Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Akiolewa na huyu bwabwa ategemee siku moja kuwa wake wenza na si mume tena, ushauri: hakuna ndoa hapo kuvishwa Pete si sababu. Ampe picha zake halafu aondoke na ndio mwisho wa ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi koment hazina afya kabisa, km umeoa ama kuolewa na unawatoto hii comment haifai,,km una plan ya kufanya kati ya hvyo basi hii comment haifai. Mabwabwa wapo ila siyo wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli
Asee unaitwa na shangazi WA kiganda kule akakupime urijali๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom