Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Kwa uzoefu wangu wanao fanyaga hayo!! Kaka mkubwa ukipiga kimya! dogo ata paralyse/pigo!! ....hasahasa km ikitokea akazaa na dem huyo! hali inakuwaga mbaya zaidi, kaka mkuu ukiweza waonye make dogo/dem wanajua! km unamtakia mema dogo ! mkanye!

ukitaka uzuri dogo asi-paralyse mwili mwambie! kosa lake na atubu kiukweli!! vinginevyo dogo akikaidi dogo ataumia ki afya ni ile mbaya, weye ni wa level ya Baba yake!.....kamwee usichezee kitu ya Babako! tena ukijua heee! ni habari nyingine!

Bora angefanya mnae fuatana ziwa huyo ni kama pacha!! Mtaniwe!!....... lkn dogo wa mbaali ivo huyo ni km ulimlea tu!...msaidie kabla hali haijawa mbaya sana! .... ukitaka/penda!

Mifano ninayo miingi sana ila kiurahisi nakupa huu wa kibiblia waweza soma kwa waktiwe '' Abosalom alimfanya mke wa Babake Mfalme Daudi ...kilichotokea aliuawa ghafla mwaloni kirahisi mno, tena kimaajabu tu!! na aliye mchochea kuyafanya hayo..alijnyonga tu bila sababu!!...

Reuben alijikwaa kwa kitanda cha babake!! lkn akatubu!! adhabu yake akanyimwa heshima ya uzaliwa wa kwanza!.... na mara nyingi wenye mali huwa wanajua madhambi yanayotendeka hapo kati kimaajabu sana!

Dogo lako! miaka minne zaidi kiumri ....huyo ni amepanda kitanda cha Baba yake tena maksudi, Kamwe hatakuwa na fursa za maisha /neema maishani mwake mwote! km mie muongo subiri uone akitendwa na maisha live!! !

sikujui hunijui ila dogo atakavyo pata kichapo cha maisha ni utashangaa!!...subiri!...shika maneno haya uone!! au laah! muwahi atubu na aache!...atamke amepiga mara ngapi wapi na lini na kwanini!
 
Waite wape ukweli kwa kutumia ushahidi wa chating ulizoziona kwenye simu zao Kisha waache waendelee na uhusiano wao, we pita huku.

Angalizo: Tusiwapende Sana Hawa kina Eva na kuwakabidhi moyo mzimamzima hawatabiriki hawa. Penda kiakili kaka sasa wewe unataka Hadi kujiua kwaajili ya mbunye moja na kumuacha dogo aendelee Kula mbususu ebooo! Huo ni udhaifu mkubwa Sana usithubutu kufanya hivyo we tafuta msichana mwingine endelea na maisha Mambo ya kujiua mwachie mkwawa.
Jamaa achukue ushauri huu
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Pole sana kiongozi usifikirie kufanya kitu kibaya,Mungu amekuonyesha mapema kuwa hakuwa chagua lako ingawa kwa macho ya binadamu uliona hilo piga moyo konde, vumilia, huna haja ya kufikiria kujiua hujaimaliza hii Tanzania na dunia kwa ujumla wanawake ni weeeengi wazuri, wenye mapenzi ya dhati jipe muda ikiwezekana fanya safari sehemu tofauto tofauti itakusaidia kukupa Amani ya moyo kamwe usifikirie kuuvunja undugu ni mapito tu
 
We dogo kwanza tulia,kama kuna mahali pangine nenda katulize akili cos ni aibu sana kugombana na mdogo wako sababu ya mbususu narudia ni UJINGA WA HALI YA JUU..

Usimuoneshe dogo kama umejua kuhusu mahusiano yao.

La mwisho tafta njia ya kuwaachanisha watu hao(FANYA FIGISU ZA HALI YA JUU)hapa tutamuhitaji sana kaka deep bond kwa ushauri manake huyu ni Master kwenye haya matukio.

Kama ukitaka kuendelea naye fanya hayo,ila kama umemchoka kwa alichofanya muache kimya kimya kuepusha fedheha.
 
Roho yako siku ikipiga paaa!!....dogo hana maisha....wewe ni baba yake tu....mshua akifa leo weye ndo mbeba mikoba

.anaweza aka-paralyse mwili mazima huyo...huwezi cheza na kitanda cha babayo.ukabaki salama!.....abosalum kwenye Biblia alitembea na mke wa babae... alikufa.
 
One man Down...

Piga Chini hyo Mama Mkuu, Pole Sana.
Jifanye hujui kitu , mpe madawa ya kulevya huyo demu kisha , kula mtungo na wahuni ulowaanda ukimrekodi , bila kuweka sura , tafuta mchora tatoo amchole matakoni loser , kisha mwite mahali na dogo wachane
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
...Umesema Mpenzi Wako ulikuwa Unampenda Sana... Yeye alikuwa anakupenda Sana?? Ametembeaje na Mdogo Wako???
Piga Chini, Songa Mbele...
 
Ukinywa sumu ndo nini kitatokea??niamini mimi kama ulikuwa na mpango wa kunywa sumu basi tayri ungeshakunywa hata sms hii ndefu usingepata muda wa kuandika.achana nao songa mbele maisha ya sasa usichukulie mahusiano kama kitu serious sana yaan weka mguu moja ndani mwingine nje (simaanishi usimpende mtu)hapana ila kuwa na akiba kwa siku kama hizi.
 
Vp kama dogo alianza kumgonga long time halafu wewe umepora demu wa dogo nae kakuheshimu tu?
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho. Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa. Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu). Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji. Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu. Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote. Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza. Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini? Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili. Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai. Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu. Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje. Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu. Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24] Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana. Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri. Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu. Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu. Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
 
Ukinywa sumu ndo nini kitatokea??niamini mimi kama ulikuwa na mpango wa kunywa sumu basi tayri ungeshakunywa hata sms hii ndefu usingepata muda wa kuandika.achana nao songa mbele maisha ya sasa usichukulie mahusiano kama kitu serious sana yaan weka mguu moja ndani mwingine nje (simaanishi usimpende mtu)hapana ila kuwa na akiba kwa siku kama hizi.
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
huyo msichana ameshakuona bolizozo you have no future. haiwezekani kijana wa miaka zaidi ya 24 bado unakaa kwa baba na mama. when will you grow up? she has discovered masculinity kwa mdogo wako.
 
Ungezirusha hizo picha za utupu kwa damange kimavi ungeokoa fungu flani ivi af nyingine unge upload pornhub ungeingiza mpunga jifunze kubadilisha changamoto kua fursa
 
Back
Top Bottom