Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Hukua na haha ya kujieleza Sana,

Uyo mwanamke wako anakujua Zaid ya tunavyokujua.

Kubali ukatae,

Kuna kitu Dogo kakuzidi kete,
Mkuu hii comment haiendani na wewe, niamini Mimi.

Ni comment nyepesi sana, ambayo nilitegemea itolewe na amature. Kwa experience yako, unaamini demu anacheat sababu ya upungufu uliopo kwa mpenzi/mumewe?

Mwanamke anatolewaga relini na vitu vya kijinga sana, ndevu, sauti, smell n.k. Alaf mwanamke ukimpa attention sana, chatting and calling frequently soon unawin attention yake, atahisi unamcare, ila yule anayepay bills anasahaulika.

My point ni kwamba, huyo jamaa sio kwamba amezidiwa chochote na mdogo wake, ni ukosefu wa akili wa huyo Binti, wanaume woote, kaona aliwe na mdogo wa mpenzi wake?
 
''...Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu...''

Kama wewe ni mtu wa ku-entertain mawazo ya namna hii, nakusahuri achana na mapenzi.
 
''...Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu...''

Kama wewe ni mtu wa ku-entertain mawazo ya namna hii, nakusahuri achana na mapenzi.
Pole mkuu
Yatapita na utakaa sawa
Usijali
 
Pole sana mkuu
Hapo Dunia imekuonyesh huyo si sahihi kwako.
La kufanya jikaze siku Tengenez outing kubwa waite huyo demu na mdogo na Ndugu yako mmoja then waambie kwa walichokufanya wote ni wakosefu wakiwango cha juu ili wew maisha na ndugu wako na ndugu yako uendelee jitoe muachie ndugu yako huyo demu.
 
Hii dunia haina usawa kabisa, mimi kuna kaka niliwahi kumpenda kiasi kwamba chakula hakipiti nisipomuona au kuongea nae, chochote alichpniambia nilikuwa natekeleza, nilikuwa namuheshimu kuliko hata wazazi wangu, ilifika hatua

nikakosana na rafiki zang wote kisa yeye maana alisema hawapendi watanifundisha vibaya, nikiitwa na mwanaume nilikuwa nakasirila mno na sijawahi hata kuwaza au kuhisi tu kumsaliti, tumedumu miaka mitatu sijawahi kugeuza shingo kwa mwanaume mwingine, walikuwa wananitongoza kwenye cm classmates na walio na namba zangu lakin sikuwahi kufuta sms japo emoj tu ili akishika cm yangu aelewe kinachoendelea, amewahi kunitega sana kunitumia watu wanitongoze lakin haikuwezekana, alikuwa ananipa kila kitu na hilo lilitosha kunifanya nilizike nae kwa kila kitu licha ya mapungufu madogo madogo, kuna siku niligundua anatoka kimapenz na mama fulan jiran na wanashauriana chq kufanya ili tutengane, niliumia sana nusu kujiua na hapo ndio nikaamin mwenye mapenz ya kweli hana bahati, nilimwambia nafsi ikamsuta akasema nimsamehe ila nilivyo jinga la mapenz nilikubal na mwisho wa wote aliuponda ponda moyo wangu bila huruma kama anaua paka, [emoji3][emoji3]

Nikiona comments za wanaume kwenye huu uzi mara wanawake hivi mara wanawake vile nasikia kichefuchefu kiukweli, naamini wanawake asilimia kubwa ni waaminifu 100% wachache ndio viruka njia,

ila mdau nakupa pole sanaaa maana nakiijua unachopitia, pole sana
 
pole sana
umeandika kwa uchungu
chagua mtu anayekupenda siyo unayempenda
unayempenda, ujue yeye hakupendi
 
pole sana
umeandika kwa uchungu
chagua mtu anayekupenda siyo unayempenda
unayempenda, ujue yeye hakupendi
Ni kweli usemacho, mimi kinachoniuma ni haya maneno ambayo wanaume mnaandika kuhusu sisi wanawake na nikijiangalia nilivyojitoa 100% nachoka kabisa, na sio mimi tu wapo wanawake wengi sana waaminifu ninaowajua ambao wanaumizwa na wanaume wao.

Nyinyi mnaokoteza malaya huko instagram, tiktok na mijitu iliyoshindikana, mkipigwa matukio ndio mnatujumuisha wote, sio vizuri hata kidogo.

Shida yetu kubwa hatuongei yetu humu jf tumewaachia nyie, ila mkae mkijua sio nyinyi pekee mliokata tamaa ya kupenda, hata sisi baadhi tumeshajitoa huko,
kwanza kama mimi natamani nikahasiwe [emoji51] nisijihusishe kabisa tena.
 
tafuta baba mtu mzima utulie naye 😆 😆 😆
njoo nikuhasi mwenyewe
 
tafuta baba mtu mzima utulie naye [emoji38] [emoji38] [emoji38]
njoo nikuhasi mwenyewe
Siku hizi hakuna cha baba mtu mzima wala kijana, woteni matapeli japo unaweza kubahatisha mtu na nusu ila sio rahisi, narudia sio rahisi,

Sasa kwa mtu kama mimi mwenye mapenzi ya karne ya pili huko nitateseka sana bora nibaki kuwa mpenzi mtazamaji.
 
Pole sana, unapata bahati ya kujua na Mungu amekufunulia badala ya kufurahi na kulijua mapema eti unavunjika moyo, kweli tumetofautiana uwezo wa ungamuzi

Kaka mademu wapo wengi sana, na ukiona demu badala ya wewe ufanyike tukio ila amekufanyia wewe tayari ameona wewe una uboya fulani hivi
 
''...Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu...''

Kama wewe ni mtu wa ku-entertain mawazo ya namna hii, nakusahuri achana na mapenzi.
Mpuuzi sana
 
Unatak kunywa sumu kisa mapenz ya miez saba!!! hamjafany chcht cha maan zaid ya bando na salun
Umemzid mdg wako miaka minne then mchumba ako anamiak 24 Nina wasi was na hii story itakua changamsha genge huo umri ulonao huwez kuwa bwege harak iv
 
Usiwasemee na wengine mkuu. Kuna wanawake ni vivuruge hata shetani akasome.

Scenario uliyokutana nayo wewe ndio imepelekea uandike hivyo, ila uhalisia ni tofauti. Jinsia zote mbili zinamatukio ya kufa mtu.
 
Pole sana mwanangu yatapita tuuu
 
How do u feel, manzi yako beki hazikabi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…