Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Ushauri makini,sema inaweza kuwa ngumu kuzipata hizo sms kwasababu watazifuta wakisha shitukia ishu.
 
Mhhhh!!!, Ushauri wako hauna uhalisia.
 
Ushauri makini,sema inaweza kuwa ngumu kuzipata hizo sms kwasababu watazifuta wakisha shitukia ishu.
Yeye alitakiwa screenshot na kuzitunza ila asingeweza kama kuziona tu ametamani kujiuwa akizitunza si ndio atajikuta analia Kila muda
 
Ningekuwa mimi namshukuru sana Mungu kwa kunipa hayo maono mapema kabla hamjafika mbali, hii ni sawa unapenda demu unagharamia kila kitu lkn ukimwambia kabla ya chochote tukapime afya zetu lkn demu anagoma je hapo unaumia au utamshukuru Mungu.
 
Hukua na haha ya kujieleza Sana,
Uyo mwanamke wako anakujua Zaid ya tunavyokujua.

Kubali ukatae,
Kuna kitu Dogo kakuzidi kete,
Hakuna kitu hapo bali Demu ni malaya tu.Hata wewe ukienda anakupa bila kikwazo.
 
Achana na huyo mwanamke. Kama ameweza kuzini na nduguyo ipo siku anaweza kuzini na mtu baki.
 
Nyoooolo mtu kakusaliti bado unampenda? Wewe faler kweli,

Maskini pole huna namna njoo kwangu kama wewe sio mtoto😂, huu ndo ushauri unaokufaa kwa sasa.

Dawa ya moto ni moto hapo hakuna cha kumpenda tena wakati kuna watu wako single nusu karne. Wewe mpige chini mwaya.
 
Pole sana mkuu ila mwanamke mpe asilimia 20 za kumuamini 80 baki nazo..

Kifupi unaonekana mgeni wa mapenzi afu umeingia kichwa kichwa ukaleta mapenz ya kifilipino kwa mbongo
 
Ukisha kunywa sumu ndio wataachana?

Tafuta mtu mwingine
 
Hii ni Chai na mtoa story anajaribu Iwapo Anaweza andika story.

Inakuwaje mdogo wako asave number ya girlfriend wako kama SAM halafu itokee pia number ya simu ya mpenzi wako?

Au Simu yangu ya techno itaonyesha Jina tu na namba katu haitaonekana. [emoji2297][emoji2297]

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hama kwenu afu acha udhaifu boya wewe ........ uyo demu mpotezeee kuanzia saivi usi jibu wala kupokea calls zake wala meeting nae usifanye japo najua uweziii nielewa ..
 
Na wewe si kuna utakaye muumiza?
 
Umehoji swali la msingi kweli, halafu nikupe simu uongee dk 5 then uanze kupekua hadi whatsap, mmmhh!!
 
Pole sana ndugu, kwa mimi nilivyo na roho mbaya kwa wanawake huyo ningeendelea kumchakata kama kawaida na dogo nae simshtui, yani tunaendelea kumtumia mpaka ashtuke mana mimi sito owa tena na hatokaa asikie plan ya ndoa mpaka mwenyewe atauliza vp, ndo nampa live sasa.

Lakn lazima uwe na ushahid
 
Pole Sana...ila usinywe sumu kisa kijimwanamke,Kama mipango iko vizuri hama hapo nyumbani,dogo anaona bro mwenyewe tupo naye kwa maza hapa so anakuchukulia poa poa tu...huyo msichana achana naye kabisa mana nina uhakika mbeleni mtashindwana tu...bado ww ni kijana na una nguvu sasa unalia Lia Nini?...na demu siyo mkeo,weka akilini kuwa mda wwte mnaachana tu..
 
DJ tulete na Nyimbo ya Lody Music song Kubali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unalewa nn wakati mwenzako ameshakuacha
Ata usiwaze kulipiza kisasa kwa vijembe Vingi uko status kwenye moyo wake una nafasi easy
....,.....................easy
...........................easy
 
Hawa wanawake mnaowaokota instagram and alike watawagharimuni sana kizazi cha bongofleva. Msiwe mnakuwa na expectations kubwa sana juu yao, bora muishi nao kibongofleva bongofleva hivyohivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…