Thomson mtau
JF-Expert Member
- May 31, 2024
- 251
- 379
Huo muda wakufanya hayo yote ulipatia wapi? Ulitakiwa uwe bize kwa kutengeneza mazingira ya kupata pesaKatika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu''
Wenzie wakamuuliza, kimburu ndio nani; ndipo aliponitaja equation x.
Baada ya kusikia hayo maneno, hata sikuingia ofisini kwake, ikabidi niendelee na mihangaiko yangu.
Hapa bado natafakari, kwa nini ananiita mimi kimburu?
Nipeni ushauri wakuu, au na nyie wapenzi wenu wanawaita majina ya ajabu ajabu wakiwa na marafiki zao?
Sina marafiki sweetheart...Ukute Mie huko kwa marafiki zako huwa unaniita kibaka wako lo😂!
Hatari sana
Hapo ni sawa kabisa!Kimburu kwa kiswahili cha mtaani ni paka asie na makazi maalum na asie na tabia nzuri na kazi yake kubwa ni kuvizia na kupora chakula kwa mfano kuvizia kuku akiwaona na kuwashambulia kwa ajili ya kula pia huvizia majumbani akiingia na kufunua masufuria na vyungu kutafuta chakula na muda wote utamuona hatulii anatazama kule na huko aidha anatafuta mawindo au akiogopa asije kudhuriwa kutoka na tabia zake mbovu alizonazo.Huyo ndo Kimburu.Mtu akikwita kimburu ni dharau kubwa sana !
Kimburu ni Yale mapaka yalishindikana Kwa binadaamu yakaamua kuishia bar au maporini au kitaa yanakuwaga majeuri hayo sio poaKwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆