Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Mnadhani hii imewekwa mdalasini, iriki, tangawizi ama ni chai tu yenye majani na sukari??
 
Sasa Hayo si-mambo ya kawaida tu now days
 
House girl katoa uchi wake mwenyewe wewe unazimia?Una akili kweli wewe?kama ni ndoto amka uendelee na mambo yako,kama ni kweli muache aendelee kutumika,nawe naomba namba zako una nidhamu sana unanifaa!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] eti uchi wa house maid kuumia aumie mwingine, Aiseee [emoji119][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] eti uchi wa house maid kuumia aumie mwingine, Aiseee [emoji119][emoji16]
Badala kumshukuru osigelo kwa kumsaidia kazi, yeye anazimia. Fala sana huyu mwanamke
 
Badala kumshukuru osigelo kwa kumsaidia kazi, yeye anazimia. Fala sana huyu mwanamke
Ila babu tuache masikhara, mahausigeli wale wa kulala kwa bosi wanakuga watamu sana.
 
Ila babu tuache masikhara, mahausigeli wale wa kulala kwa bosi wanakuga watamu sana.
Naogopa kukomenti michepuko yangu hapa JF isije ikaniacha...

Ila sitamsahau Renata....
 
Remember
As a man

If your value is high enough...

Girls will forgive you almost anything.
 
Naogopa kukomenti michepuko yangu hapa JF isije ikaniacha...

Ila sitamsahau Renata....
Wee nae ushawahi kula house maid? Akuuuh sitaki kuamini yaan lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…