Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kuanzia hapa ndipo ulipozidisha sukari...
Basi wakaanza kufanya mapenzi jman mdada anavyonungunika kwa mahaba mume wangu maneno anayotoa jaman nilishindwa kutoka kule uvunguni nikajikuta nazimia sikujua Tena kinachoendelea nimekuja kujistukia nipo hospital, naamka namkuta mume wangu yupo pembeni yangu analia.