Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Wakati unashuhudia game ya mumeo na dada wa kazi umegundua dada wa kazi kakuzidi kitu gani????
 
Sema we nawe sijui unafeli wapi!!

Mahaba na mautamu wayafurahie wengine, kuzimia uje kuzimia wewe... wapi na wapi!!

Kilichokufanya uzimie wala sio "kushuhudia" live bali wivu wa kuona jamaa wana-enjoy kiwango cha SGR+... hapo ndo nongwa ikaanza!!

Sio vizuri hivyo...
Hahahahaaaaaa........😂😂😂😂😂
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.

Tukiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu ananiacha kazini kwangu yy anaenda kazini kwake najioni anapitia tunarudi

Inaonekana we ni spika tu hujui kukamata mike vizuri na kuinyonya naibu wako anakuzidi matumizi ya mike
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.

Tukiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu ananiacha kazini kwangu yy anaenda kazini kwake najioni anapitia tunarudi
Aisee!!!,Pole sana.Upo wapi nije nikupe maneno ya Faraja??.Au njoo Pm.
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.
Ulisema ndoa yako ilkuwa na utulivu, mmeo alikujali, lkn ww ukaanza kuipekuwa sim ya mdada wa kazi ,hapo ndo ulipokosea kwann umfatlie mtu mambo yk bnafs,we ndo umevunja amani ?umeitafta shari, Shari umeipata, jilaumu mwenyewe, umelifunua giza lililo katika dunia yenye bahati na utulivu.
 
Pole aisee, mi kati ya vitu nilishajiapiza ni kumvunjia heshima wife kwa kutembea na mdada wa kazi. Ntakua nimemshusha sana,niliwahi pita na ndugu yake mmoja hivi ni piece moja kali sana na sikujilaumu sababu ni viwango vya wife
 
Back
Top Bottom