Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia mm nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi tukiwa tunakiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu

Mara nikastuka usingizini....hizi ndoto
😀
😀😀
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.

Tukiwa tunakiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mm na mume wangu ananiacha kazini kwangu yy anaenda kazini kwake najioni anapitia
Je wewe ulikuwa unanyonya? Kama siyo basi inaweza kuwa ndio sababu
Hata hivyo mwanaume kutembea na housegirl ni cha kawaida sana labda asiwe na mvuto.
 
House girl katoa uchi wake mwenyewe wewe unazimia?Una akili kweli wewe?kama ni ndoto amka uendelee na mambo yako,kama ni kweli muache aendelee kutumika,nawe naomba namba zako una nidhamu sana unanifaa!
 
Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.

JE, Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali?
 
Mimi housegirl wetu huyu hapa

IMG_20220228_003946.jpg
 
Back
Top Bottom