Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.
JE,
Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali???
Wenda walivunja chaga
 
Nimecheka sana; mwanaume yeyote mwenye afya, kuonja onja nje ni kawaida, ulichotakiwa kufanya ni kujifunza utundu zaidi katika tendo; usimchukie mume wako,we ongeza manjonjo tu, mwenyewe atabadilika.
 
Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.
JE,
Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali???
Hapa ndo nilipoona na mie kidogo hili jambo sio halisia. Lol
 
Sema we nawe sijui unafeli wapi!!

Mahaba na mautamu wayafurahie wengine, kuzimia uje kuzimia wewe... wapi na wapi!!

Kilichokufanya uzimie wala sio "kushuhudia" live bali wivu wa kuona jamaa wana-enjoy kiwango cha SGR+... hapo ndo nongwa ikaanza!!

Sio vizuri hivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna nn lakini? Khaaaaah
 
Sema we nawe sijui unafeli wapi!!

Mahaba na mautamu wayafurahie wengine, kuzimia uje kuzimia wewe... wapi na wapi!!

Kilichokufanya uzimie wala sio "kushuhudia" live bali wivu wa kuona jamaa wana-enjoy kiwango cha SGR+... hapo ndo nongwa ikaanza!!

Sio vizuri hivyo...
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]mdada mtanga au mtu wa Kusini huyoo
=77694]JamiiForums mobile app[/URL]
 
Back
Top Bottom