Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Samahani aliyekua anamlipa mshahara huyo bint ninani ,Mana umetumia neno bint yenu wakazi ,zote hizo nikazi zake alikua anatekelexa wajibu.....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Nami nlitaka kuuliza hili swali aiseee!!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
ulianza vizuri sana afu ukakosea kuzimia.

ulikosea sana kuzimia sasa unless utuambia walikupataje mvunguni itabidi utusevie vitafunwa tunywe na hii chai.

Afu hiyo faraja unayotafuta kuwa makini. Kuna mzabzab aisee sijui kama atakuacha salama.
 
[emoji23][emoji23]kazimiaa
 
We vp sasa,tulia humo humo ndani tafuta boda mmoja mpe mzigo.
Mnabanana hapo hapo
 
Nilitaka kusema uliyataka mwenyewe mwanangu, lakini basi sisemi tena
 
Wewe kilichokufanya ufautilie michongo ya cloud number 9 ya mume wako ni nini?!

Kwa namna umemuongelea hapo anaonekana ni mwanaume responsible na anakupenda. Unaweza kuta kuna vitu vya kimwili wewe hauwezi mpa, mfano yeye ameanza kuwa na tamaa na wanawake wenye tako kubwa wakati wewe unashape ya kihindi unategemea beki tatu mwenye shepu ya kibantu ataweza mvumilia.

Hizo ni issue ndogo sana na ungepiga kimya hakuna cha kupoteza eneo lako labda tu akileta upuuzi wa kutia ujauzito au akuletee maradhi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanawake mngekuwa mnajua ile kitu sisi ipo kwenye system msingekuwa mnathubutu hata kuhoji upuuzi wowote.

Kwanza kwann umefungua simu ya dada wa kazi ukasoma hizo siri zao?!

Kuna males wana higher sexual drive.... Anataka muda wote kugegeda. Ukiwa pekee yako na hivyo unafanya kazi utaanza kulalamika mwanaume anakukula sana unashindwa hata kupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…