Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Anza na mume wako ndiye kamtongoza.
Ukifumania mwenzako ana mtu wako, deal na mtu wako ndiye ambaye kakusaliti akijua yuko kwenye ndoa lakini kaamua kwa hiari yake kukusaliti. Yeye ndiye inabidi aheshimu ndoa yenu sio thirdparty.
Sasa badala uanze kuua huyo mumeo ambae amekudowngrade mpaka chini akaona wewe mke wake ambaye kakuoa kwa mahari huna thamani unataka eti umuue housegirl.
Sio baba yake wala kaka yake ndio maana kakubali.
Anza kumwajibisha mumeo kwanza mbona hujathubutu kumuua?
Aaah wapi thubutu yake!
Wee jichanganye tu mwanangu kwa kusema alikuanza wewe wakati umefanya kumtega weee!
Utawajibishwa kwa uovu wako [emoji108]
Na kwa sababu nitakuwa upande wa haki iwe kwenye ulimwengu halisi , wa Nuru au Giza inaheshimu sana haki ya asili basi ujiandae kwa funzo la Mwanaukome [emoji123][emoji108]
Usiombe kushika pabaya!