Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Mkuu Pole, Tulia, acha kupekua simu ya watu, acha kufumania ila kujua unachotaka ni nini?

Mwisho Mwambi mumeo aoe hausigeli huyo awe mke mwenzio.

Pembeni ya hapo atampangia wataendelea na penzi lao na huenda nyuma yenu ikavunjika
bora mbali huko ila hapahapa atakufa mtu
 
House girl katoa uchi wake mwenyewe wewe unazimia?Una akili kweli wewe?kama ni ndoto amka uendelee na mambo yako,kama ni kweli muache aendelee kutumika,nawe naomba namba zako una nidhamu sana unanifaa!
aisee
 
Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.
JE,
Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali???
hata me sijui kwakweli
 
Story tu isiyo kuwa na u halisia na Iwapo ni kweli mzalie mumeo mtoto pia ujitume kwa Bed kwani Inaonyesha Huwezi mautundu.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sema we nawe sijui unafeli wapi!!

Mahaba na mautamu wayafurahie wengine, kuzimia uje kuzimia wewe... wapi na wapi!!

Kilichokufanya uzimie wala sio "kushuhudia" live bali wivu wa kuona jamaa wana-enjoy kiwango cha SGR+... hapo ndo nongwa ikaanza!!

Sio vizuri hivyo...
mhh
 
Back
Top Bottom