Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Ulisema ndoa yako ilkuwa na utulivu, mmeo alikujali, lkn ww ukaanza kuipekuwa sim ya mdada wa kazi ,hapo ndo ulipokosea kwann umfatlie mtu mambo yk bnafs,we ndo umevunja amani ?umeitafta shari, Shari umeipata, jilaumu mwenyewe, umelifunua giza lililo katika dunia yenye bahati na utulivu.
nashukuru kiherehere kimenitoa gizani
 
Ulikuwa chini ya uvungu wa kitanda cha house girl ukiugulia maumivuu kwa uliyo kuwa ukiyasikia yakiendelea kati ya mumeo na house girl,Ghafla ukazimia na hukujua kilicho kuwa kikiendelea na kujikuta uko hospitali.
JE,
Walijuaje kuwa wewe uko chini ya uvungu na kugundua kuwa umezimia mpaka kukupeleka hospitali???
Alijuaje kuwa Back3 anamnyonya Mumewe wakati alikuwa uvunguni?

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana; mwanaume yeyote mwenye afya, kuonja onja nje ni kawaida, ulichotakiwa kufanya ni kujifunza utundu zaidi katika tendo; usimchukie mume wako,we ongeza manjonjo tu, mwenyewe atabadilika.
mkuu moyo umegoma acha maisha yaendelee
 
Kitendo cha kusema mfanyakazi hutaki kumuona tayari umempa hatia yeye na kuonyesha kumpenda mumeo na kugundua hana kosa.

Usikilize moyo wako nini unataka, kama unaona bado unampenda msamehe, Jifunze kwa uliyoyaona kwa mfanyakazi wako na kuyasikia muongezee mmeo.

Furahi muishi kwa Amani, asilimia kubwa ya wanaume wanacheat kwa wake zao, lakini sio kwamba hawawapendi wake zao, ni Vichwa vyao vibovu tukisingizia nature yetu.View attachment 2135051
ila huyu kala vyandani,tena ndani kwangu amenikosea sana
 
Back
Top Bottom