Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Hatoi majibu kwa kuwa kichwa cha habari kinajieleza, someni chote jamani....nanukuu

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine​

Hii imekuwa edited mkuu!
 
Pole sana dadangu hili jambo ni gumu sana. Kama unavosema inatia sana kinyaaa pia. Hapo talaka ndio suluhisho kwa sababu kwa dini zote hili jambo halitakiwi na ni dhambi mbaya sana.
Umewahi sana kuleta mambo ya talaka tulia kwanza
 
Pole
 
Kubali mwanangu. Hapo mume huna. Uamuzi ni wako.
 
uligunduaje? pili kila mwanaume anafanya hivyo,sasa utafanyaje?
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…