Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

Katika mazungumzo yenu baada ya kumstukia live alikwambia kwann anafanya hivyo?
 
MKUU USIMUACHE. HIYO NI SHIDA YA KISAIKOLOJIA. HUYO NI MWANAMKE MUAMINIFU KATIKA NDOA HATOKI NJE YA NDOA.
KINACHOTAKIWA NI KUMPA NAFASI YA KUBADILIKA. Nipo tayari kumsaidia buree na atabadilika. Tumewasaidia wengi na wamebadilika
😀😀😀😀
 
Of coz mi naona Kwanza we ilo kama mwanaume alifai kukusumbua kabisa uyo ningemuonyesha nimeelewa alichokua anafanya and am okay with that
 
Ujue kumridhisha mwanamke kila anapoitaji ni kazi ila kama uyo amejiongeza anajiridhisha mwenyewe,anafaa kuigwa na wengine waache kuchepuka badala yake wajichue
 
Habari wakuu!

It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.

Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.

Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!

Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?

2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?

3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?

***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.

Wasalaam.
Humgongi vzr, kaza buti mwanaume, kula hadi TAKO ataacha mwenyewe.....
 
Nimeandika posting leo kuhusu masturbation. Sanghadisesa II.
Ipo katika thread Masturbation is permitted in Islam
 
Nshawahi kufanya hivi kilichonikuta sasa, mbususu inakuwa imeshalowa sana, imepoa alafu mwanamke anakuwa hana ushirikiano kabisa kama ametoka kutumika. Mkuu tucheke tu hii si nzuri kabisa [emoji22]
Ulipitia jando.
Lile la porini
 
Fanya uchunguzi zaidi inawezekana Kuna mtu anamtumia picha za x
 
We usintanie emu nipe ujuzi usiubanie 🤣🤣🤣
Tena ule wa Mwanza sijasahau bado
🤣🤣Ule nishautubu na sijarudia tena
Lol usiniharibie ndoa mdogo wangu,Jana tu mhaya wangu ameondoka mwanza kurudi daslam,tuna watoto tunasomesha🙏
 
Humridhishi,we ukifika ni kuipaka mate,kupiga nje ndani,ukikojoa unageukia ukutani🤣
Mpe mahaba,make love to her,fatilia video za Kamasutra ujifunze then ,upractice kwake utanishukuru👌
Nakuhakikishia tatizo si hili kama huniamini try me!
 
Back
Top Bottom