Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

Habari wakuu!

It has been looong time sijatupia visa vyangu so siwezi kumbuka niliongea lini kuhusu hili ila nakumbuka ni humu humu JF nilipost kuhusu kuwa namashaka na mke wangu kuhusu tabia ya kujichua. Mada ilikuwa inahusu mke wangu hapendi kufanya mapenzi, let me dig in nitaweka link hapa hapa.

Sasa katika kuendelea kumfatilia nikawa najinyima usingizi na kuzuga nimelala, siku moja nikiwa nafatilia nakuangalia pirika zote nikiwa mkimya kabisa nisigundulike kama niko macho na niweze kunasa kila kitu nikaanza kuziona pirika, mke wangu akajilaza chali akiwa kajifunika, kwa mkono mmoja akaanza kujichezea nyeti zake. Nakuhakikishia hakuwa akijikuna maana niliona, nilisikia na nilimuumbua nikajikoholesha kikohozi kikavu ajue kabisa nipo macho. Akashtuka na kujirudisha katika hali ya kawaida, mi nikajikausha tukalala.

Kesho yake nikam'bana akaniomba msamaha na kuniahidi hatorudia na kweli hakurudia kwa wakati huo ila juzi hapa ameanza upya kwa ukimya zaid nisijue ila nshaona kila kitu, she's still masturbate!!!

Kwanini naleta kwenu hili?
1. Mke wangu hapendi kufanya mapenzi sana, mashine napiga vizuri kabisa najiuliza kwanini apende kujichua?

2. Sababu ni mimi na je anaweza kuacha tabia hii?

3. Japokuwa kila mtu hupima makosa kwa namna yake nauliza kosa hili linafaa kumuacha?

***Mwisho, hapa tunapeana uzoefu tu kulingana na tatizo, muamuzi nitabaki kuwa mimi so don't panic, don't be emotional wala usitukane.... Jibu kulingana na uelewa wako.

Wasalaam.
Naomba namba yake ya simu ili nimpeleleze.
 
Maoni yangu since nimewahi kuexPerience kitu kama hicho,
1) Sio hapendi kufanya mapenzi, anapenda ila sio na wewe. Maana hapo anafanya mapenzi na yeye mwenyewe.
2) Sababu inayomfanya asipende mapenzi na wewe, inawezekana unapiga mashine vizuri lakini yeye hana feelings na wewe, au you are not romantic. Kiufupi hakufeel. Anaweza kuwa anapenda kukaa na wewe kwa sababu zingine na mkawa marafiki wazuri kabisa but not lovers (my experience)
3) Inawezekana hujawahi kutaka kujua nini anapenda umfanyie, unapiga mashine kibabe, na yeye hayuko huru kukueleza.
Tafuta siku muondoke nyumbani , mkakae hotelini nje kabisa ya mji, muwe kama ndio mnaanza kuwa wapenzi, akiwa ktk mazingira relaxed, mweleze kwamba umegundua anajichua na haujapenda. Muulize kwa nini anafanya hivyo, je humridhishi? Kama humridhishi ufanyaje ili umridhishe? Kumbuka haya maongezi yawe very romantic sio vita😂😂😂 atafunguka tu na mambo yatakuwa fresh.
 
MKUU USIMUACHE. HIYO NI SHIDA YA KISAIKOLOJIA. HUYO NI MWANAMKE MUAMINIFU KATIKA NDOA HATOKI NJE YA NDOA.
KINACHOTAKIWA NI KUMPA NAFASI YA KUBADILIKA. Nipo tayari kumsaidia buree na atabadilika. Tumewasaidia wengi na wamebadilika
Hapa kuna harufu ya mke wa mtu kuliwa kimasihara
 
Back
Top Bottom