muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako CHADEMA,
Niliamini CHADEMA ni chama kilichonyooka kinachotetea maslai ya wanyonge, nilianza kushtuka 2015 walipomleta Lowassa,
Hapo ndio ajenda za ufisadi na kukemea wala rushwa zilianza kufa rasmi ndani ya CHADEMA,
Chama kikakosa mandate ya kukemea mafiaadi bila aibu,
Nimesikitika sana Leo hii tuhuma za Rushwa ndani ya Chama zimejaa na wanazifunika funika, Lissu ameonekana ni adui baada ya kuwataja wanufaika wa fedha za Abdul?
Mwenyekiti anajibu swali kirahisi et mwenye ushahidi aje nao? Mtuhumiwa wa rushwa ndio anagombea umakamu wenyekiti wa Chama?
Sisi tunafanywa kama wajinga tunahatarisha maisha yetu na familia zetu kumbe kuna watu wananufaika na mfumo?
Nina hasira sana ,
Bora kuendelea na mambo mengine tu, Hakuna Chama tena hapa