Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah....kuni ndiyo inakuwa fasta....na misosi yake inakuwaga POA sana [emoji23][emoji23][emoji23]Na ukikipasha kwenye jiko la mkaa au la kuni haukiui??
Ndio nilisikia mtu anasema maharage yakipikwa kwenye pressure cooker yanakua mabaya mara chakula ukikipika kwenye gesi kinakua kibaya sijui wali ukipika kwenye pressure cooker kinakua kibaya, watasema nyama ikiokwa kwenye oven inakua mbaya, lol
Huo muda wa kuwasha mikaa mnakua nao aiseee.
Sent using Beretta ARX 160