Dah....kuni ndiyo inakuwa fasta....na misosi yake inakuwaga POA sana [emoji23][emoji23][emoji23]Na ukikipasha kwenye jiko la mkaa au la kuni haukiui??
Ndio nilisikia mtu anasema maharage yakipikwa kwenye pressure cooker yanakua mabaya mara chakula ukikipika kwenye gesi kinakua kibaya sijui wali ukipika kwenye pressure cooker kinakua kibaya, watasema nyama ikiokwa kwenye oven inakua mbaya, lol
Huo muda wa kuwasha mikaa mnakua nao aiseee.
Mbona mnanichanganya hapa,,,Unapasha chakula ikiwa ina maana hakijapikwa muda huo, kilipikwa haukula bali ulihifadhi, so lazima kitakuwa kimepoteza uhalisia wake kwa kukaa muda flani hata kama uliweka kwenye friji........sina uhakika kama kupasha kwa microwave kuna effect ya radha.
Ukiwa na njaa sidhani kama kuna chakula utahisi kua hakina ladha!
😀😀
Dah....kuni ndiyo inakuwa fasta....na misosi yake inakuwaga POA sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
Naunga mkono hoja ya kuni.... hahahaDah....kuni ndiyo inakuwa fasta....na misosi yake inakuwaga POA sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
Kama huisafishi utakosa kutapika?Tena kama ni wali ndo umepashwa nikila naweza hata kutapika..kuna harufu inakuwaga
Nenda jukwaa la lugha ukaulize swali lako hapa jukwaa la mapishi na mada ni Microwave.
Dah...raha yake utumie chungu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naunga mkono hoja ya kuni.... hahaha
Kabisaaa..kiporo ni kiporo!!Unapasha chakula ikiwa ina maana hakijapikwa muda huo, kilipikwa haukula bali ulihifadhi, so lazima kitakuwa kimepoteza uhalisia wake kwa kukaa muda flani hata kama uliweka kwenye friji........sina uhakika kama kupasha kwa microwave kuna effect ya radha.
Njaa inakufanya uwaze kujaza tumbo tu,wakati huo ladha ni second choice.