Nimegundua Sabaya alisingiziwa kama alivyokuwa anasingiziwa Makonda. Kuna nini nyuma ya Pazia?

Nimegundua Sabaya alisingiziwa kama alivyokuwa anasingiziwa Makonda. Kuna nini nyuma ya Pazia?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Kesi ya Sabaya Inakosekanaje mashahidi? Hapa kichwa kinaniuma kwa kujiuliza. Jinsi huyu dogo alivyokuwa anafanya "unyama" (kwa mujibu wa maelezo ya watu.

Nlitegemea mahakamani pangekuwa panajaa mashahidi wengi mpaka wanarudishwa makwao au kesi ingefanyiwa kwenye uwanja wa mpira. "Huyu dogo kaumiza wengi sana, kawatesa na kuwaua"

Hawa watu hawajitokezi kwenda mahakamani kwa nini? Mbowe naye alitendewa unyama na huyu dogo. Je amesamehe? Aende akafungue kesi asiache tu watu watende makosa akasamehe.

Nikakumbuka MAKONDA NAYE ALISINGIZIWA MENGI SANA. Mbona hakuna aliyeenda mfungulia kesi?alihusishwa na shambulizi la Lissu mbona hajashtakiwa? Aliyoyafanya pale clouds je walikubaliana naye?

Wale waliosingiziwa na kuchafuliwa suala la madawa Wakamshtaki aliyewafanyia hivyo. Kwa nini hawaendi mahakamani ili kukomesha tabia hiyo?

Tunataka Haki itendeke. Wote waliokosea wananchi waadhibiwe. Je yaliyosemwa yalikuwa ni fitna za watu? Why mashahidi wakosekane? Angekosekana mmoja leo wale wengine kadhaa si wangetoa ushahidi?
 
Jamani mnataka ahukumiwe fasta hivyo!?
Utamu ni kusikia bado yuko lupango
Yaani ni kama shindano la ngumi
Mtu akipigwa round ya kwanza tu pambano halitanoga
Inabidi waende angalau round ya nane au kumi huko!
 
Hii kesi ni vyema kujiandaa mapema "psychologically" siku ya hukumu, naona dalili siasa imeingilia kati, siku ya kwanza kapelekwa mahakamani anaficha uso, leo anajiamini hana pressure tena na ulinzi juu.
 
Kesi ya Sabaya Inakosekanaje mashahidi? Hapa kichwa kinaniuma kwa kujiuliza. Jinsi huyu dogo alivyokuwa anafanya "unyama" (kwa mujibu wa maelezo ya watu...
Subiri asote sote Kisongo keshapata mwana c unaona anayong'aa skuiz
 
Aisee!!
FB_IMG_1624798540144.jpg
 
Na CCTV akiiba ela sio yeye ?

Mwachieni muone tutakavyochoma nyumba yake na kumsambalarisha kwa risasi

Hata makonda anahitaji risasi tu

Kwani Lissu alivyopigwa risasi alikuwa kafanya nini?

Pumbavu zenu mwachieni muone jambazi mkubwa huyo!
 
Sio kila kesi inaitaji ushahidi , lkn pia kuna kesi ambayo unashitakiwa na selikali hapo unaweza kuta mashahidi ni polic na kuna kesi mashahidi wanainchi lkn kama mtuhumiwa atakubali moja kwa moja hapo hakuna haja ya ushahidi .
 
Sio kila kesi inaitaji ushahidi , lkn pia kuna kesi ambayo unashitakiwa na selikali hapo unaweza kuta mashahidi ni polic na kuna kesi mashahidi wanainchi lkn kama mtuhumiwa atakubali moja kwa moja hapo hakuna haja ya ushahidi .
😂😂😂😂😂 umesomwa sheria mtaa upi?
 
Mbona mnakuwa wajinga hivyo?kwaiyo wanaolalamika na walioumizwa na Sabaya Wanaigiza?Matako yenu wajinga nyie
 
MATAGA walivyokuwa mafukara wa akili wanashangilia. Subirini mtafurahi wenyewe. Hapo anacheleweshwa tu ili wana wakale kiboga kwa raha zao
 
m

hivi huko shuleni huwa mnaenda kusomea ugoro??
Afadhali ugoro unaweza hata kuuza ukapata pesa. Wewe akili zako zipo tumboni zinatokea njia ya haja kubwa ....so the more you poop the more you remain empty. Na ukisema usiende choo unavimbiwa na uchafu...😂😂😂😂
 
Baba yangu aliniambiaaa🎵🎼🎼🎼🎶🎹🎹🎤 utavuna ulichopaaandaaaaaaa🎤🎹🎼🎼🎶🎵🎼🎶🔊🔊🎸🎷
 
Back
Top Bottom