Nimegundua Sabaya alisingiziwa kama alivyokuwa anasingiziwa Makonda. Kuna nini nyuma ya Pazia?



Topic za kijinga tuna mambo muhimu badala ya kuongelea vijana wajinga jinga
 
Kinachoendelea kwa sasa ni kuwamaliza marafiki wa Magu waonekane walikuwa hamnazo na wengine wanawachinjilia mbali RIp mfugale
 
Ukiwa na akili utaelewa kwamba upande wa mashtaka wanamnyoosha Sabaya kwasababu kesi itachukua muda mrefu.

Mwendesha mashtaka hakusema Hakuna mashahidi bali mashahidi wana udhuru na kisheria inakubalika, sasa ukizingatia kesi haina dhamana fungua akili uone hapo
 
..Sabaya anashtakiwa na serikali ya ccm, au serikali ya chadema?

..tatizo la sabaya lilikuwa kufanya ujambazi wake waziwazi.

..wenzake walikuwa wanatumia akili kwa kutumia kundi la watu wasiojulikana.

..Sabaya kwa ujinga wake alikuwa anakwenda mwenyewe front na kuonekana mpaka kwenye cctv.
 
👆
 
Uunganishwe kwenye kesi ili ushahidi wako utimie.
 
We unadhani shahidi unajitokeza tu Kama unaenda Taifa kuangalia Mechi? Shahidi kuna utaratibu wake, wakijitokeza hao wote 100 watatoa wote ushahidi siku hiyo hiyo moja?
 
Kweli acha Sabaya avune alichopanda.....muda ni mwalimu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…