General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Huyo Mwanamke ni muuaji.
Wachane hao jamaa wote ili akose vyotee na umalaya umuishe

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba upo wapi hapo, au wewe kupost jamii forum unajiona mjanja wa dunia! Nonsense!Wasukuma sijui ushamba utawaisha lini...
Ee Mungu wanusuru hawa watu....
Samahani nwana ngosha kama nimekukwazaUshamba upo wapi hapo, au wewe kupost jamii forum unajiona mjanja wa dunia! Nonsense!
bado naipenda jf naipenda sembe mkuu nisije kuikatishwa bado nasikia harufu ya nissan nyeupeKumbe andika tu ilimradi usimtaje Bashite na babaake
Kwangu, ningesema na mwanamke.... ningemwambia yote niyajuayo na kumtisha kuwa nitawaeleza wanaumeStori iko hivi, weekend moja jamaa yangu wa karibu sana akanialika kwenye mazungumzo ya faragha kipindi tuko chuo. Alitaka kunitambulisha kwa mpenzi wake ambaye wamekubaliana kuanza mchakato wa kuoana. Nikawapongeza na kuwaahidi ushirikiano kutoka kwangu.
Siku nyingine rafiki yangu huyu akawa anamwelezea jinsi anavyofaa kuwa mke wake yule binti, moja ya sifa ni kwamba anaweza kuongea kisukuma, pili ni wa nyumbani, na ni mtiifu kwa hiyo jamaa aliwaambia wazazi waanze maandalizi ya mchakato.
Baada ya kama wiki 3 hivi tangu siku nimetambulishwa, rafiki yangu mwingine alikuwa anasoma Muhimbili akaniomba niende kwake computer yake inasumbua nikairekebishe, tikapanga siku siku yenyewe nikiwa nashughulikia computer huku tunapiga story, kama kawaida Yetu kipindi hicho.
Akaanza kunisimulia habari za mahusiano yake na mdada mmoja hivi akasema alikuwa hajawahi kutongozwa na mdada lakini mwaka ule imetokea alikuwa nyumbani Maswa ndipo alipokutana na hiyo request kutoka kwa mdada na wamekuwa wakiendelea na mapenzi kwa takribani miezi 2.
Mdada aliyekuwa anamsemea ndiye yule niliyetambulishwa kwake jana kuwa anataka kuanza mchakato wa kufungandoa na rafiki yangu yule mwingine huu ulikuwa mtihani wangu mkubwa sana sikumwonyesha ishara yoyote ya kushtuka niliendelea kumsikiliza na kumdodosa zaidi.
Unaweza ukafikiri ni movie vile kwa maana haikupita nusu saa yule dada akapiga simu kuwa anakuja hapo room kwa jamaa, jamaa akafurahi sana akasema njoo dakika 20 nyingi dada akafungua mlango uso kwa uso na mimi akiwa hajui kama tumemwongelea ilibidi ajifanya kushangaa akaonyesha mshangao fake, huku akiuliza.
"kumbe na wewe huwa unafika huku?" Lakini hakutaja neno shem, kama ilivyo kawaida yake rafiki yangu akauliza, "ina maana mnafahamiana?" Nikawahi kujibu "Ndiyo, huyo ni wa Maswa." Sikusema kitu kingine zaidi, nikakaa kimya kama sijui chochote.
Basi mle chumbani tukawa watatu, basi rafiki yangu akawa yuko busy akimpetipeti mpenzi wake, lakini mpenzi mwenye haonekani kuwa tayari hata kukumbatiwa kimahaba
basi mimi nikamaliza kazi yangu nikawaaga, nikawatakia kazi njema kilichofuata baada ya hapo ni mimi kuwaza nifanyeje next
Option ya kwanza ni kukaa kimya kama sijaona chochote, yaani niwaambie marafiki zangu wote hawa juu upande wa pili wa shiringi kuhusu huyu mpenzi wao wote ni marafiki zangu na tumetoka Maswa pamoja, na wao ni marafiki pia, tena wamesoma shule moja A level ile waliachana mwaka mmoja tu, na wanaheshimiana sana.
Option nyingine niliyoifikiria ni kumweleza yule ambaye anataka kuoa ili atambue kwa sababu nilijiuliza vipi akifunga ndoa halafu baadae katika maisha wakashindana tabia and then akaja kugundua kuwa mimi nilishuhudia kitu kama kile lakini niliamua kuaa kimya kama sijui na kumuacha aangamie nikiwa naona, je huo ndiyo urafiki wa kweli?
Stori iko hivi, weekend moja jamaa yangu wa karibu sana akanialika kwenye mazungumzo ya faragha kipindi tuko chuo. Alitaka kunitambulisha kwa mpenzi wake ambaye wamekubaliana kuanza mchakato wa kuoana. Nikawapongeza na kuwaahidi ushirikiano kutoka kwangu.