Nimegundua shemeji yangu ana mwanaume mwingine. Je, nimwambie rafiki yangu kabla ndoa haijafungwa?

Huyo Mwanamke ni muuaji.
Wachane hao jamaa wote ili akose vyotee na umalaya umuishe
 
Ili hii issue isikusumbue akili maishani mwako bora uwaambie tu ukweli,huyo malaya atakuona snitch but utakuwa umefanya jambo kubwa sana mbele ya Mungu na kwa rafiki zako.wewe ndiye umeteuliwa na Mungu kumuokoa hasa huyo alietangaza kumuowa huyo mwanamke ukikaa kimya bila kutekelekeza huo ujumbe uliotumwa hili halitakuacha salama.
 
Mtu anaoa kwavile anajua kuongea kisukuma, kweli nyie wasukuma akili zenu ni za kufugia ng’ombe tu.
 
Waite marafiki zako pamoja then. Waambie ili wajijue kabisa wanawake
 
Waite marafiki wali wote alafu tell them baada na hapo wapate suluhu ya pamoja
 
Kwangu, ningesema na mwanamke.... ningemwambia yote niyajuayo na kumtisha kuwa nitawaeleza wanaume
 
Huu mchezo mabinti wanao sana usiombe yakukute mweye kisu kikali ndo anakula nyama mazima. Binafsi ingekua mim ningemshaur ningemuweka jamaa wazi tu haka kamchezo sio mana kumbuka anapanua miguu pande zote mbili na ujuz tumetofautiana na tambua bongo hapa msingi kiuno waulize waliochapiwa.
 
kama ningekuwa mimi wewe.. ningeandaa mtoko wowote wa pamoja na marafiki zako wote hao wawili..

na katika story ungewaambia kila mtu ataje demu wake halisi ni nani... wangejishangaa kuona wanamiliki demu mmoja kwa kushea
 
Kama wew ni rafiki wa kweli utamwambia maana Kama Wanataka kufunga mpaka Ndoa ni hatua ya mbali sanaa kimahusiano... Wangekuwa wapenzi tuu hapo sawa unakausha.. So mwambie Rafiki akoo akikusikia haya akikuchukia poaa tuu..
 
Asee mtafute huyo demu umle ili u balance story,maana vinginevyo utasababisha mgogoro usio wa lazima.Mke mwema mtu hupewa na Bwana,sasa kama mtu amejiamulia kuoa mtu anayeongea kisukuma tu bila kumuuliza Mungu utamsaidiaje huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…