Nimegundua shemeji yangu ana mwanaume mwingine. Je, nimwambie rafiki yangu kabla ndoa haijafungwa?

Huo ni umbeya achana na maisha ya watu wewe angalia yako.
Hivi kwanini mtu ahangaike namaisha ya watu na anayake.
 
nadhani ukiwaita rafiki zako wote wawili kwa pamoja itakuwa poa zaidi na itakuwa poa zaidi mmoja akija na shemeji yenu ili iwe bomba zaidi.
 
aiseee huyo Jamaa wako wakwanza moja ya vigezo vyake vyakuoa ni mwanamke wake kujua vizuri kisukuma hahaaaa
dunia ina mambo ...huyo mbona analeta ukanda aisee
 
acha umbea...mambo kama haya hayaingiliwi....we hujifunzi kila siku humu watu wanapost....mwishoni wataelewana watarudiana tena utaonekana ulikuwa mmbea unataka kuharibu mapenzi ya watu kisa unajifanya kusema ukweli uliouona...sio kila kitu ni cha kusema...mapenzi never interfere...hata pale angm=emla mbele yako we unasepa tu....fanya yako,.
 
kama huwezi nyamaza basi muoaji aende kwa jamaa mwingine wakutane ili wajue ukwel wao ndo waamue...basi iwe evidence kabisa live...sio ujiume ume tena ....maana jamaa wa ajabu eti mke sifa pia ni kujua kisukuma
 
Ningekuwa Mimi ndiyo wewe, kwa vile nimesha jua kwamba huyu hawezi kuwa mke bora, ningefanya juu chini nimmege kabla sijamchonganisha na mabwana zake .
 
Fanya hima umuokea mdau ww...
Huyo mwanamke unafahamu mapicha yake kuna ugumu kumsanua mdau? Hivi shida ikija kutokea utajiskiaje rohoni?
We mwanamke anakutisha kwenye uhai wa mwenzio? sometime woga unatuponza...
Kuwa mwanaume ww.
 
Wote si washikaji zako?? Basi waambie ukweli atakaetaka kuendelea na hatua zaid aendelee
 
Ukikuta mshikaji kilaza atadhani unataka umuharibie penzi
 
Enhe..miaka minne Sasa..ilikuaje?
 
Its better ukae kimya kama hujui chochote ukisema utaonekana unataka kuharibu mahusiano ya watu.
 
Pole sana mkuu ,wema wako ulitaka kukuponza
 
Option ya tatu ni kula kimasihara mkuu. Then unamkanya huyo dme baada ya game.
 
Kwa vile huyo demu hajatulia na wewe mchakate kisha mwambie huyo rafiki yako anayetaka kuoa aachane na mpango huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…