Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.
Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.
Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya fahari ya shetani atawasaliti na mnabaki midomo wazi.
Ni kwamba shetani ana watu wengi amewaweka kanisani na misikitini maalumu kwa ajili ya kufanikisha jambo lake.
Kwa mbinu kama hizo Yanga nawapa asilimia 100.
Yanga haina mashabiki wajinga wajinga wanaoisema vibaya timu yao hata kama imefanya ujinga mwingi.
Kitendo cha kuuchimba uwanja wa Mkapa mashimo na kuzika nyoka,mayai viza na mizoga mingine kimefanywa na yanga na ushahidi upo lakini huwezi kuwasikia mashabiki wao wakiisema vibaya timu yao.
Imetolewa kimataifa lakini hawalalamiki kwani faraja wanayoitafuta ni kuifunga Simba tena kwa magoli mengi.
Kuna mashabiki wa Simba kwa sasa wanatamba eti walikimbia mvua ya magoli.
Mi najiuliza tu,hivi JKT ana timu bora kuliko Simba? Ama Tabora United ana timu bora kuliko Simba?Kama jibu ni ndio basi huu mpira wa kwetu ni upuuzi tu haufai hata kuangalia.
Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app