Nimegundua Simba ina mashabiki wengi sana mamluki

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.

Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.

Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya fahari ya shetani atawasaliti na mnabaki midomo wazi.
Ni kwamba shetani ana watu wengi amewaweka kanisani na misikitini maalumu kwa ajili ya kufanikisha jambo lake.

Kwa mbinu kama hizo Yanga nawapa asilimia 100.

Yanga haina mashabiki wajinga wajinga wanaoisema vibaya timu yao hata kama imefanya ujinga mwingi.
Kitendo cha kuuchimba uwanja wa Mkapa mashimo na kuzika nyoka,mayai viza na mizoga mingine kimefanywa na yanga na ushahidi upo lakini huwezi kuwasikia mashabiki wao wakiisema vibaya timu yao.
Imetolewa kimataifa lakini hawalalamiki kwani faraja wanayoitafuta ni kuifunga Simba tena kwa magoli mengi.

Kuna mashabiki wa Simba kwa sasa wanatamba eti walikimbia mvua ya magoli.

Mi najiuliza tu,hivi JKT ana timu bora kuliko Simba? Ama Tabora United ana timu bora kuliko Simba?Kama jibu ni ndio basi huu mpira wa kwetu ni upuuzi tu haufai hata kuangalia.

Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
I see him bro
FB_IMG_17409963005132899.jpg
 
Kwa mujibu wa wewe mlikimbia kwa sababu gani?

Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.

Sababu kataja hapo, ushirikina
 
Huwa hawasomi vizuri mkuu,ndio maana wanahoji sababu na kanuni walizotumia bodi kuahirisha mechi wakati wamezitaja na kunukuu kwenye barua yao
 
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.

Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.

Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya fahari ya shetani atawasaliti na mnabaki midomo wazi.
Ni kwamba shetani ana watu wengi amewaweka kanisani na misikitini maalumu kwa ajili ya kufanikisha jambo lake.

Kwa mbinu kama hizo Yanga nawapa asilimia 100.

Yanga haina mashabiki wajinga wajinga wanaoisema vibaya timu yao hata kama imefanya ujinga mwingi.
Kitendo cha kuuchimba uwanja wa Mkapa mashimo na kuzika nyoka,mayai viza na mizoga mingine kimefanywa na yanga na ushahidi upo lakini huwezi kuwasikia mashabiki wao wakiisema vibaya timu yao.
Imetolewa kimataifa lakini hawalalamiki kwani faraja wanayoitafuta ni kuifunga Simba tena kwa magoli mengi.

Kuna mashabiki wa Simba kwa sasa wanatamba eti walikimbia mvua ya magoli.

Mi najiuliza tu,hivi JKT ana timu bora kuliko Simba? Ama Tabora United ana timu bora kuliko Simba?Kama jibu ni ndio basi huu mpira wa kwetu ni upuuzi tu haufai hata kuangalia.

Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
FB_IMG_17419431616902649.jpg
 
Mzee Saidi futari ya siku moja imemtoa ufahamu aibu sana hii
 
Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.
Hilo wala lisikuumize kichwa. Information age imegeuka kuwa fursa. Kuna watu wananufaika kwa kuingiza kipato kutokana na hizo interviews. Na katika mahojiano hayo, target inakuwa ni kumsifia tajiri ambaye yupo tayari kumwaga fedha. Matajiri wa Yanga (au wasaidizi wao) wanamwaga hela ili mradi uwasifie hadharani (uwe chawa). Hilo huwezi kulipata kwa tajiri wa Simba (na wa Azam pia) ambaye anaamini katika kufanya kazi.

Sasa vijana wameiona hiyo fursa. Ukiwa Simba ukaisifia Yanga kwenye interview na ukawa maarufu, muda wowote unapewa shavu. Mfano ni Mchome Mapovu na Mzee Said, wote hawa wapo kwenye payroll ya GSM.

Lakini Mo na Bakhresa hawana habari za kusifiwa na machawa, matokeo yake ndio hayo. Unaweza ukadhani mashabiki wa Yanga hawaisemi timu yao, kumbe sababu ni kwamba hakuna maslahi watakayopewa
 
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.

Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.

Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya fahari ya shetani atawasaliti na mnabaki midomo wazi.
Ni kwamba shetani ana watu wengi amewaweka kanisani na misikitini maalumu kwa ajili ya kufanikisha jambo lake.

Kwa mbinu kama hizo Yanga nawapa asilimia 100.

Yanga haina mashabiki wajinga wajinga wanaoisema vibaya timu yao hata kama imefanya ujinga mwingi.
Kitendo cha kuuchimba uwanja wa Mkapa mashimo na kuzika nyoka,mayai viza na mizoga mingine kimefanywa na yanga na ushahidi upo lakini huwezi kuwasikia mashabiki wao wakiisema vibaya timu yao.
Imetolewa kimataifa lakini hawalalamiki kwani faraja wanayoitafuta ni kuifunga Simba tena kwa magoli mengi.

Kuna mashabiki wa Simba kwa sasa wanatamba eti walikimbia mvua ya magoli.

Mi najiuliza tu,hivi JKT ana timu bora kuliko Simba? Ama Tabora United ana timu bora kuliko Simba?Kama jibu ni ndio basi huu mpira wa kwetu ni upuuzi tu haufai hata kuangalia.

Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mbona ni mfano wa ccm na siasa zake na wala sio Simba
Ccm imeolewa Zanzibar na wala hausemi
Ccm ni Saccos ya kukopa na kutumia na sii kuhakikisha wananchi wanaendelea mbona husemi.
 
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu.

Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani.

Shetani anaweka makasisi,mitume,manabii na wachungaji feki wengi sana.Mnaweza kudhani mpo safari moja mkimwabudu Mungu ila siku ya fahari ya shetani atawasaliti na mnabaki midomo wazi.
Ni kwamba shetani ana watu wengi amewaweka kanisani na misikitini maalumu kwa ajili ya kufanikisha jambo lake.

Kwa mbinu kama hizo Yanga nawapa asilimia 100.

Yanga haina mashabiki wajinga wajinga wanaoisema vibaya timu yao hata kama imefanya ujinga mwingi.
Kitendo cha kuuchimba uwanja wa Mkapa mashimo na kuzika nyoka,mayai viza na mizoga mingine kimefanywa na yanga na ushahidi upo lakini huwezi kuwasikia mashabiki wao wakiisema vibaya timu yao.
Imetolewa kimataifa lakini hawalalamiki kwani faraja wanayoitafuta ni kuifunga Simba tena kwa magoli mengi.

Kuna mashabiki wa Simba kwa sasa wanatamba eti walikimbia mvua ya magoli.

Mi najiuliza tu,hivi JKT ana timu bora kuliko Simba? Ama Tabora United ana timu bora kuliko Simba?Kama jibu ni ndio basi huu mpira wa kwetu ni upuuzi tu haufai hata kuangalia.

Nasikitika kusikia shabiki anajiita wa Simba anasema Simba ilikimbia mvua ya magoli kwa kuwa yanga ni bora sana!Huwezi kusikia wanazungumzia ni sababu ya ushirikina kama ambavyo yanga wanajaribu kuichafua Simba eti ilikwenda na wazee wafupi na mbuzi kwenye basi!Kama ni kweli basi huu mpira wa Tanzania ni vitu vya kipumbavu sana.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwani haujawai kushuhudia mvua ya magoli ndugu mtoa mada?!....sasa wanaosema wamekimbia na wewe nani ana akili?!....kwani wakati unabugizwa zile tano(5) simba na jkt zilikua levo moja au simba na tabora united nani alikua bora?!...acha kujitoa ufahamu mkuu wacha watu watoe maoni yao
 
Kwenye ile idadi ya watu 3 wenye akili pale Yanga ambao Manara aliwataj, wewe haupo. Wewe unaliwakilisha Lile kundi kubwa lililobaki.
 
Mkuu unataka kutuambia wewe ni mgeni na haya?

Kimsingi: hakuna shabiki wa kweli awezaye kuiponda timu yake, vinginevyo awe anafanya hili suala kimkakati.
 
Back
Top Bottom