NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo?
Utamtumainije Mungu pekee bila ya wewe kuweka jitihada? Kuna maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hapa ndio mahali pake.
Ugonjwa wa small pox au ndui ni ugonjwa ulioangamizwa duniani toka kuja kwake duniani unakadiriwa ulishaua watu 300-350millioni.
Ungekuja leo tukasema watu wasichanjwe dunia sijui ingekuwaje.