NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
kwani ukichanja unapata faida gani mkuu.Najaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo?
Utamtumainije Mungu pekee bila ya wewe kuweka jitihada? Kuna maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hapa ndio mahali pake.
Ugonjwa wa small pox au ndui ni ugonjwa ulioangamizwa duniani toka kuja kwake duniani unakadiriwa ulishaua watu 300-350millioni.
Ungekuja leo tukasema watu wasichanjwe dunia sijui ingekuwaje.
hio kauli yako ya kutojaribu kushawishi wengine ichunguze vizuri mana najua inaweza ikakufunga au kukinzana na matendo yako.. cause najua hata wewe unashawishigi wengine kuepuka kufanya jambo flani baya.Uko sawa mkuu ila sasa msimamo ulionao au aliona mtu asijaribu kushawishi wengine hiyo ndio point yangu ya msingi unielewe
Uko sawa mkuu ila sasa msimamo ulionao au aliona mtu asijaribu kushawishi wengine hiyo ndio point yangu ya msingi unielewe
kwani ukichanja unapata faida gani mkuu.
IQ ndogo na watu wanafuata mkumbo tu...sasa mzungu akitaka kutuangamiza anashindwaje kwa mfano?Mfano mdogo , yaani mtu anakataa chanjo lakini anavaa imported barakoa, sanitizer nk....ambavyo asili yake mzungu....angalia bidhaa za vyakula,mavazi,madawa,electonics,electrical nk ambazo zinatoka nje ....kuna pa kutokea? acheni upoyoyoNajaribu kutafakari yanayoendelea sasa mjadala kuhusu chanjo ya COVID na jinsi baadhi ya watu, viongozi wa dini na wanasiasa wanavyolichukulia jambo hili kwa wepesi na kuhoji uhalali wake ilhali wao wenyewe walishachanjwa toka utotoni. Je, wasingechanjwa wangekuwa hai leo?
Utamtumainije Mungu pekee bila ya wewe kuweka jitihada? Kuna maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hapa ndio mahali pake.
Ugonjwa wa small pox au ndui ni ugonjwa ulioangamizwa duniani toka kuja kwake duniani unakadiriwa ulishaua watu 300-350millioni.
Ungekuja leo tukasema watu wasichanjwe dunia sijui ingekuwaje.
Faida yake huugui.Kwani wewe zile chanzo za utotoni ulizochanjwa zilikusaidia nini? jibu ni rahisi tu kwamba ndio maana uko hai hadi leo.kwani ukichanja unapata faida gani mkuu.