MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Kuna thread nimeitoa muda kidogo umepita unasomeka "hii imeniuma sana na itamuuma kila mtanzania"
Ndugu zangu nimegundua kitu kikubwa sana leo.
Tatizo kubwa la sisi wa Tanzania tulio wengi tuna roho mbaya, hatuthaminiani, hatupendi haki, tunatanguliza maslahi yetu na familia zetu.
Ukipitia koments nyingi katika hiyo thread utakuja kuamini katika haya niliyoyasema.
Wengi ni - acha umbea, fanya mambo yako, utapakatwa, utapigwa shaba kufatilia ya watu, hafu wengine unakuta ni watu wazima wanafamilia wameoa wameolewa kifupi ni mtu ambaye kwa haraka haraka ukikutana naye unaweza mshirikisha mambo nyeti ya maana kumbe hafai pia hata kupewa dili la millioni
Huyu huyu mtu mnamkuta analalamika barabara mbovu, umeme unakatika hovyo, hospital hakuna dawa, pembejeo zipo juu, viongozi hawafai mafisadi, wala rushwa...n.k
Halafu katika nyuzi kama hizi ambazo zina reveal ufisadi mtu huyohuyo anashadadia fanya yako, utapigwa shaba kufatilia mambo ya watu. asijue pengine hii pesa inayoliwa ilielekezwa kuongeza mashimo ya vyoo mashuleni ili watoto wetu wajistili pazuri na kupunguza ma uti na vipindupindu yeye hafikirii hayo anaenda direct kuweka comment za kijinga ili pengine achekeshe wenzake, mpenda misifa, au aonekane mtu flani hivi mjanja wa town kumbe ni boya mkubwa labda kwasasa yupo sehemu
Ana kifursa kapewa nayeye anajipigia vipesa vyake vya kifisadi anashiriki kuididimiza tanzania hafu baadae muda wake ukiisha arudi vijiweni aanze kusema "aaah hii nchi ya kiboya sana maendeleo hakuna, watu wanapiga tu pesa" anasahau nayeye kwa wakati na nafasi yake alishiriki kuididimiza nchi.
Tuombe mungu atupe wokovu wa kifikra tupendane, tupende haki, tujaliane na kuisogeza nchi yetu panapotakiwa na penye kumnufaisha kila mtanzania bila kujali naf
asi, cheo wala elimu.
Watu hao ni pamoja na hawa hapa, to mention just few of them
be calm dr matola phd philomena3 gatabhanya watu8 nzalendo kigi makasi faizafoxy waziri wa kaskazini to god
Mimi binafsi huwa ni mtu objective sana simbezi mtu, simpambi mtu sifa asiyoatahili.
Hawa watu endapo kama ningekuwa nawafahamu basi kwenye fursa ambazo mimi ningeweza kuzitengeneza au kuzipata nisingeweza kuwashirikisha au kuwasogeza kwa namna yoyote ile hawa watu personality yao ni haifai kwasabab it seems ni watu wapenda sifa, wajanja wajanja in disguise (washamba) na hawafai kupewa nafasi yoyote hata ngazi ya kitongoji.
Stay safe my country people, better days are coming