Nimegundua wafanyakazi wa Tanzania ni njaa sana

Nimegundua wafanyakazi wa Tanzania ni njaa sana

Hizo zote ni dharau tu mkuu kama wewe ni mfanya biashara basi bidhaa zako weka na bango kwamba marufuku mtumishi wa umma kununua bidhaa kwako au kushirikiana na wewe ili ieleweke tu una jeuri
 
Acha uchawi kila mtu na maisha yake,kwani waliogoma kaliakoo nao ni njaa,kata tiketi ukose usafiri utakubali kinyonge,maisha ni circle,ukipata wewe hunipi hata chembe,hivi unafikiri.
mikopo waloyo nayo wafanyakazi ni kitu kidogo,hata wewe inaonyesha kabisa mifumo wa maisha hauko sawa, mtumishi akiwekeza mnaiba,akifungua duka muuzaji anaiba,akinunua ardhi anaibiwa,ndio maaana mafisadi hawaishi,mtu anapiga kila mtu afe na chake,hata wafanyabiashara mmejaa ndumba mpaka mgogongoni,hii Nchi iko vita ya uchumi wewe endelea kulala.
Punguza povu subiria mwiba ukuingie
 
Ni aibu kwa kweli, ndio maana huduma ni mbovu.
Yaani hata mwisho wa mwezi haujafika mtu analeta thread eti mshahara umechelewa hii inafikirisha sana.
Nimekuja kugundua ndio maana huduma kwenye taasisi nyingi za serikali hususani wizari, sekretarieti za mikoa na halmashauri ni mbovu.
Mfanyakazi anashindwa hata kuweka akiba sasahuyo ataweza kweli hata kufanya maendeleo binafsi kama hata kujenga nyumba kweli?
Yaani mshahara wa mtu unakuwa hands to mouth thing mmh ni hatari kwa kweli na pia inasikitisha sana
Na ndio maana hao wanao husika na michakato ya kutunga na kupitisha hizo kanuni,, Taratibu na Sheria juu ya maslahi ya wafanyakazi hawazitumii wao
 
Habari Ya Jioni Jf,sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile.
Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio mnategemea msharaha tu.

Fungue biashara yoyote ile hapo mnanuka njaa je nchi ikiingia kwenye janga la kutokuwa na pesa hivi mtavumilia nyinyi achaneni na lawama.
Usiku mwema ukinuna wewe nuna .

Kikubwa tafuteni njia mbadala wa kuingiza pesa tofauti na kutegemea mshahara.
Cc. Nesi mkunga
 
Acha tu , yaani kuna rafiki alinoinyesha payslip nikahuzunika sana. Bingwa analipwa laki sita na kitu, hapo ana family ya watoto wa tatu, daah.
Nilijiuliza maswali mengi sana , ila watumishi kiujumla wanamchango mkubwa sana kwa taifa sema serikali inawakandamiza kimalipo.
These days nikiingia ofisi yeyote ya govt huwa nawaachia walau za macho hicho kidogo changu.
 
1000011159.jpg
 
Back
Top Bottom