Nimegundua wafanyakazi wa Tanzania ni njaa sana

Hizo zote ni dharau tu mkuu kama wewe ni mfanya biashara basi bidhaa zako weka na bango kwamba marufuku mtumishi wa umma kununua bidhaa kwako au kushirikiana na wewe ili ieleweke tu una jeuri
 
Punguza povu subiria mwiba ukuingie
 
Na ndio maana hao wanao husika na michakato ya kutunga na kupitisha hizo kanuni,, Taratibu na Sheria juu ya maslahi ya wafanyakazi hawazitumii wao
 
Cc. Nesi mkunga
 
Acha tu , yaani kuna rafiki alinoinyesha payslip nikahuzunika sana. Bingwa analipwa laki sita na kitu, hapo ana family ya watoto wa tatu, daah.
Nilijiuliza maswali mengi sana , ila watumishi kiujumla wanamchango mkubwa sana kwa taifa sema serikali inawakandamiza kimalipo.
These days nikiingia ofisi yeyote ya govt huwa nawaachia walau za macho hicho kidogo changu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…