Nimegundua wale watu ambao hawanywi pombe ndio wanafiki, wachawi na wambea

Mwanaume kijana asiyekunywa na pesa ipo halafu mkimya usimtambulishe kwa shemeji. Starehe imehamia kiunoni na huko kwenye misoda huwa hakuna wanawake, wanawake ni mashemeji zake tu.
 
Sidhaniii… nina rafiki wa kazini mnafki sijawahi kuona ila anatupia kamnyweso balaa.
Hapo ikoje hiyo?
Huu uzi ungekuwa batiri bila komenti ya maryj.
Kamnyweso na maryj ni ndugu. 😀
 
Sisi hatubishani na mlevi.
 
Hahaa kwamba walevi ndio watakatifu sana? Si kweli.
 
Hivi kwanini mkinywa pombe Huwa mnakunja sura?

Kwani Huwa mnakuwa mmelazimishwa?

Kwann Huwa mnakunja sura kama mtu anayedungwa sindano?
 
Endela kunywa mkojo wa Firauni baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…