Nimegundua wana Jf wengi si wakweli kama mimi

Hivyo vitu vyote na hayo maeneo yote yapo kwa ajili ya watu...

Inawezekana mtu alienda mara moja kusema siyo mbaya au anaenda mara kwa mara siyo tatizo pia...

Watu wanamaisha, watu wapo vizuri...


Cc: mahondaw
 
Jamani nipo Amsterdam hapa, naelekea Frankfurt kama kuna Mwana JF maeneo nilioyataja, nimuone, nimchotee Korosho kidogo! Mtoa mada elewa wivu ni ugonjwa mbaya!
 
Jamani nipo Amsterdam hapa, naelekea Frankfurt kama kuna Mwana JF maeneo nilioyataja, nimuone, nimchotee Korosho kidogo! Mtoa mada elewa wivu ni ugonjwa mbaya!
mkuu sinaga wivu ila nawaza tu namimi natakanije na kitu tofaut
 
Hii kasumba ya kuamini kuwa members humu wakisema wana magari,nyumba au wanasafiri nje ya nji ni waongo ipo na nionavyo Mimi wanaoamini hivyo ni vijana wadogo ambao wameingia jf hivi karbuni.Tangu kuanzishwa kwake,jf lilikuwa jukwaa la academicians ambao wengi walikuwa na maisha yao na haishangazi watu wa aina hiyo kuwana magari au kusafiri nje ya nchi.
Wengine humu ni wafanyakazi,wajasiliamali,waajiri na wengine wenye uwezo kuwa na maisha mazuri.
Kwa hiyo,kama wewe hauna gari,nyumba au uwezo wa kumiliki vitu hivyo nyamaza.
 
too much....na inategemeana na content
 
Kweli kabisa, kuna watu wanadhani kuwa watu walioko humu ni wale wanaokaa nao mtaani kwao tu, kuna watu wako na nyadhifa na maisha yao ya maana sana ndani na nje ya nchi.

Hivyo mleta mada, apambane tu na hali yake sio kukaa kuwaza maisha ya memba wenzie humu, kama wanaishi kwa kuigiza au la!
 
Ukiichukulia Jf serious aki utaiba ndugu!!!
Simama wewe kama wewe, jiamini jinsi ulivyo na mshukuru Mungu kwa ulicho nacho. Hayo mengine ni majaaliwa na kufanya kazi kwa bidii.
 
Mtoa mada vyuma vimekukazia hadi umekuwa chafupozi unaanza kuwadisi na wengine.....
Nimeona vitu unavyoshangaa watu wa humu kuwanavyo cjui ATM mara kuwepo airport vyakawaida2.....
Pambana na hali yako nawe upate maisha ka hayo..
Ila ulivyo hivyo ww unaweza fika airport ama kuwa na bank account kwa hiyo cjaona unalopigia kelele hapo....
 
Jamiiforum ni platform imayopendwa na kukubalika na watanzania waliopo dunia nzima, kuna verified users hawa unawatambua moja kwa moja na kuna Id fake hizi ndio nyingi, Kuna tofauti kubwa kati ya member wakongwe na Wa sasa, Sasa hivi wengi ni vijana Wa shule, lakini humu ndani kuna mpaka baba zao, kama baba yako yuko humu ndani na nyumbani kwenu kuna gari usishangae.
 
Kwa kingereza kile ulichokua unaongea ukijibizana na shunie usitudanganye etii frm 2" masticate , implicate ... Submit..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…