incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
-
- #41
Hahaa mkuu hapa umeniangusha kujua kuongea kingereza na kuandika sio kipimo kwa usomi hahahhaaa unajuaje historia ya makuzi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kingereza kile ulichokua unaongea ukijibizana na shunie usitudanganye etii frm 2" masticate , implicate ... Submit..
Hahaa mkuu hapa umeniangusha kujua kuongea kingereza na kuandika sio kipimo kwa usomi hahahhaaa unajuaje historia ya makuzi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu mapema sana saiz wazee ndo mida yetu ya kwendu kuchoma mahind mtaani tunatafta rizik..... Sawa Mkuu usiku mwema
Baba alinambia sa 12 niwe nyumban baada ya wadada saba mtaan kusingizia wana mimba yangumkuu mapema sana saiz wazee ndo mida yetu ya kwendu kuchoma mahind mtaani tunatafta rizik
hahahahahahaaa mkuu kwich haijawah kumwacha mtu salama napendaga sana hizo show.....ila kugegeda syo lazima usku hao wanaogegedwa usku huwa hawana mazoea ya kubeba mimba mkuuBaba alinambia sa 12 niwe nyumban baada ya wadada saba mtaan kusingizia wana mimba yangu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]hahahahahahaaa mkuu kwich haijawah kumwacha mtu salama napendaga sana hizo show.....ila kugegeda syo lazima usku hao wanaogegedwa usku huwa hawana mazoea ya kubeba mimba mkuu
Nitakuja hapo tule mbuzi Choma hapo kama kwenye kasoko Mjinga naona kuna sehem wanachoma nyama tamuuuDemiss bhana hapo ndo pananifanya mimi nikuwe invisible kila nikikuona Rose garden wapi na wapi Bibie......
Mi nipo zangu huku huku Stend ya mkoa kwenye mishemishe natafta pesa
Njoo na hela basi mwenzio nilikuw na jero ndo nimenunulia bandle si mda[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitakuja hapo tule mbuzi Choma hapo kama kwenye kasoko Mjinga naona kuna sehem wanachoma nyama tamuuu
Khaaaa unataka kunidangia ushindweeNjoo na hela basi mwenzio nilikuw na jero ndo nimenunulia bandle si mda[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahaja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaa unataka kunidangia ushindwee
live mkuu hata sjui kwannUsijiumize kichwa mkuu, watu huku wana Maisha ya kuigiza tu wanaoonesha uhalisia wachache sana
sifa ziso na maanalive mkuu hata sjui kwann
ππππKwa kingereza kile ulichokua unaongea ukijibizana na shunie usitudanganye etii frm 2" masticate , implicate ... Submit..