Nimegundua wana Jf wengi si wakweli kama mimi

Nimegundua wana Jf wengi si wakweli kama mimi

Kwa kingereza kile ulichokua unaongea ukijibizana na shunie usitudanganye etii frm 2" masticate , implicate ... Submit..
Hahaa mkuu hapa umeniangusha kujua kuongea kingereza na kuandika sio kipimo kwa usomi hahahhaaa unajuaje historia ya makuzi yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hahahahahahaaa mkuu kwich haijawah kumwacha mtu salama napendaga sana hizo show.....ila kugegeda syo lazima usku hao wanaogegedwa usku huwa hawana mazoea ya kubeba mimba mkuu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wewe sema unaongelea jukwaa lako pendwa na si JF kiujumla ...
 
Demiss bhana hapo ndo pananifanya mimi nikuwe invisible kila nikikuona Rose garden wapi na wapi Bibie......
Mi nipo zangu huku huku Stend ya mkoa kwenye mishemishe natafta pesa
Nitakuja hapo tule mbuzi Choma hapo kama kwenye kasoko Mjinga naona kuna sehem wanachoma nyama tamuuu
 
Back
Top Bottom