kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Amini usiamini hata ng'ombe, paka, kuku na wanyama mbalimbali wafugwao wanao uwezo wa kununa, kucheka na kuongea najua utabisha
Toka 2005 nilijikita kufanya utafiti wa maisha ya wanyama hasa hawa tunaowafuga majumbani mwetu na kilichonishangaza ni kugundua nao wana lugha yao ya kibonyoli" ambayo wanaitumia kuwasiliana na hata kucheka.
Nataka niwasilishe chapisho langu kwenye website za kimataifa nikiweka na evidence kabisa ambazo nahofia nikiziweka wazi humu huenda utafiti wangu ukaibiwa.
Nakitu msichokijua hata wanyama wanatongozana asee nilishangaa pale mbwa dume akilia machozi baada ya kusalitiwa na mbwa jike.
I lay my case here!!!
Kwa dodoso karbu dm