Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

Kila uchwao sijutii kuwa JF
Maana mwaka 2005 rasmi nilijgundua kuwa Mimi ni genius na nikaona nchi ilivyo na uhaba wa magenius Ila mwaka Jana na mwaka huu nafurahia kuona magenius wanazidi kuongezeka tena Raha ni kuwa wengi ni vijana .

Safi kabisa ,weka chapisho kwenye website .

Mimi genius mwenzio mavumbuzi mengi niliyoyafanya ni juu ya ngono na mapenzi huko hakika nimetaradadi kabisa
Asante sana geneous mwenzangu kwa hakika nitayachapisha
 
Umechelewa, jamii nyingi hatuwezi kuzungumza na Wanyama ila Wamasai wanaweza kuzungumza na Ng'ombe pamoja na mbuzi hata akiwaambua wakae zizini watulie au waende anakotaka wanaenda.
 
images (69).jpeg
Popi tumemuacha kuleee..
 
Wanyama wana lugha yao upo sawa kabisa
Sasa kama wataalamu wa lugha za wanyama na binadamu kina Noam Chomsky wanakubali hilo ila vigagula wachache humu wanabisha kwa akili zao ndogo mgando.
 
Back
Top Bottom