Nimegundua wanyama wanaongea na wanacheka wakifurahia jambo!!

Asante sana geneous mwenzangu kwa hakika nitayachapisha
 
Umechelewa, jamii nyingi hatuwezi kuzungumza na Wanyama ila Wamasai wanaweza kuzungumza na Ng'ombe pamoja na mbuzi hata akiwaambua wakae zizini watulie au waende anakotaka wanaenda.
 
Wanyama wana lugha yao upo sawa kabisa
Sasa kama wataalamu wa lugha za wanyama na binadamu kina Noam Chomsky wanakubali hilo ila vigagula wachache humu wanabisha kwa akili zao ndogo mgando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…