Nimegundua Watanzania tuna elimu haba sana juu ya ulimwengu na sheria zake (universe and it's laws): Mwenye swali lolote karibu tuchangamshe bongo

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina

Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze

Uliza swali, nitajibu kadri ya uwezo wangu 🙏🙏
 
Attachments

  • post-308195-0-14505900-1588611363-4211306381.jpg
    post-308195-0-14505900-1588611363-4211306381.jpg
    207 KB · Views: 1
  • th-836190450.jpg
    th-836190450.jpg
    41.6 KB · Views: 1
Mleta mada naomba nisidie kitu kimoja.
Kuna ndugu mmoja alimfanyia mema bibi mzee fulani yule bibi alimbariki sana.
Na kila aliye ona wema wa yule ndugu alisema hakika huyu atabarikiwa mno na maisha yake yatakuwa mazuri sana

Kuna mtu mwingie alikua anamtukana mama yake ambaye alikua ni mzee sana , huyu mama kila mara alikua anamuachia laana au alikua akimwambia maneno yasio mazuri, na kila mtu aliekua anaona matendo na matukano aliyokua akimfanyia mama yake mzazi ali sema huyu atalaaniwa.

Yule bibi wa kwanza alifariki na yule mama nae alifariki , wale watu hali zao kwa sasa kila mmoja ana hali yake.

Yule alie mfanyia wema yule bibi hali yake ni ya kawaida sana, anaishi ilimradi maisha tu kwamba hata leo hajui atakula nini yeye na wanae.

Yule aliye kuwa ana mtukana mama yake maisha yake yapo vibaya sana kiasi cha kusema ile laana imafanya kazi.

Sasa swali langu kwanini anaye fanya wema habaki hivyo hivyo na anae fanya ubaya, ubaya humrudia gafla sana , kwa nini wema haujipambanui, hali ubaya hauchukui muda kuleta matokeo?
 
Suala hapa nadhani ni hisia/emotions; ukitendewa ubaya inazaa chuki na chuki ni kama moto lazima uwake
Ila wema ni kama maji, yanasuuza na kutuliza, malipo ya wema hayana haraka maana wema haubumbwi kama chuki
 
Ulimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina

Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze

Uliza swali, nitajibu kadri ya uwezo wangu 🙏🙏
haya maswali hata katibu dokta nchimbi lazima hakuletee polisi na hatutajua kituo gani ulipo
 
Mleta mada naomba nisidie kitu kimoja.
Kuna ndugu mmoja alimfanyia mema bibi mzee fulani yule bibi alimbariki sana.
Na kila aliye ona wema wa yule ndugu alisema hakika huyu atabarikiwa mno na maisha yake yatakuwa mazuri sana

Kuna mtu mwingie alikua anamtukana mama yake ambaye alikua ni mzee sana , huyu mama kila mara alikua anamuachia laana au alikua akimwambia maneno yasio mazuri, na kila mtu aliekua anaona matendo na matukano aliyokua akimfanyia mama yake mzazi ali sema huyu atalaaniwa.

Yule bibi wa kwanza alifariki na yule mama nae alifariki , wale watu hali zao kwa sasa kila mmoja ana hali yake.

Yule alie mfanyia wema yule bibi hali yake ni ya kawaida sana, anaishi ilimradi maisha tu kwamba hata leo hajui atakula nini yeye na wanae.

Yule aliye kuwa ana mtukana mama yake maisha yake yapo vibaya sana kiasi cha kusema ile laana imafanya kazi.

Sasa swali langu kwanini anaye fanya wema habaki hivyo hivyo na anae fanya ubaya, ubaya humrudia gafla sana , kwa nini wema haujipambanui, hali ubaya hauchukui muda kuleta matokeo?
Milango ya heli imefunga siku hizi
 
Ndo mfumo uliokuwepo wa dunia,ubaya ulikuwa unatawala ndo mana waswahili wakasema chema hakidumu.

Hata kwenye biblia ikaandikwa mateso ya mwenye haki(mtenda mema) ni mengi ila Muumba ametutoa hapo sasa.
 
Hapa siongelei dunia na viumbe wake, hapa naongelea ulimwengu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom