Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Suala hapa nadhani ni hisia/emotions; ukitendewa ubaya inazaa chuki na chuki ni kama moto lazima uwakeSasa swali langu kwanini anaye fanya wema habaki hivyo hivyo na anae fanya ubaya, ubaya humrudia gafla sana , kwa nini wema haujipambanui, hali ubaya hauchukui muda kuleta matokeo?
haya maswali hata katibu dokta nchimbi lazima hakuletee polisi na hatutajua kituo gani ulipoUlimwengu (universe) una maajabu yake ila kwa Watanzania sidhani katika watu 100 unaweza kupata hata wawili wenye kujiuliza maswali na kuyatafakari kwa kina
Enyi ndugu zangu ambao mmetenga baadhi ya seli zenu za ubongo kufahamu mambo nje ya Simba na Yanga karibuni sana tujifunze
Uliza swali, nitajibu kadri ya uwezo wangu ππ
Usipotaja chichiemu you'll be finehaya maswali hata katibu dokta nchimbi lazima hakuletee polisi na hatutajua kituo gani ulipo
Milango ya heli imefunga siku hiziMleta mada naomba nisidie kitu kimoja.
Kuna ndugu mmoja alimfanyia mema bibi mzee fulani yule bibi alimbariki sana.
Na kila aliye ona wema wa yule ndugu alisema hakika huyu atabarikiwa mno na maisha yake yatakuwa mazuri sana
Kuna mtu mwingie alikua anamtukana mama yake ambaye alikua ni mzee sana , huyu mama kila mara alikua anamuachia laana au alikua akimwambia maneno yasio mazuri, na kila mtu aliekua anaona matendo na matukano aliyokua akimfanyia mama yake mzazi ali sema huyu atalaaniwa.
Yule bibi wa kwanza alifariki na yule mama nae alifariki , wale watu hali zao kwa sasa kila mmoja ana hali yake.
Yule alie mfanyia wema yule bibi hali yake ni ya kawaida sana, anaishi ilimradi maisha tu kwamba hata leo hajui atakula nini yeye na wanae.
Yule aliye kuwa ana mtukana mama yake maisha yake yapo vibaya sana kiasi cha kusema ile laana imafanya kazi.
Sasa swali langu kwanini anaye fanya wema habaki hivyo hivyo na anae fanya ubaya, ubaya humrudia gafla sana , kwa nini wema haujipambanui, hali ubaya hauchukui muda kuleta matokeo?
Hapa siongelei dunia na viumbe wake, hapa naongelea ulimwengu kwa ujumlaNdo mfumo uliokuwepo wa dunia,ubaya ulikuwa unatawala ndo mana waswahili wakasema chema hakidumu.
Hata kwenye biblia ikaandikwa mateso ya mwenye haki(mtenda mema) ni mengi ila Muumba ametutoa hapo sasa.