Nimehama maduka mpaka nimekoma!

Nimehama maduka mpaka nimekoma!

Watu wengi hawajui kucheza cheaper options kama maduka ya jumla na utakuta kitu ananunua shilingi 10000 na duka la jumla pembeni linauza kwa 8000..

Lakini kama maisha yetu ya kiswahili hand to mouth, hapo kweli ni mtihani maana kukopa kwa mangi ni must [emoji16]
tunao pima robo na kl atwezi kwenda kununua kwenye maduka ya jumla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom