Watu wengi hawajui kucheza cheaper options kama maduka ya jumla na utakuta kitu ananunua shilingi 10000 na duka la jumla pembeni linauza kwa 8000..
Lakini kama maisha yetu ya kiswahili hand to mouth, hapo kweli ni mtihani maana kukopa kwa mangi ni must [emoji16]