Nimehama rasmi Manchester United na kujiunga na Liverpool

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana the book ushabiki wa mpira hauwi hvyo mawna kama umehama united hata uko liverpool utahama tu shabiki bora ni yule anaepambana na hali yake kwa lolote lile kama mashabiki wa arsenal na timu zingine mi nadhanii utahama mwishowe utakuwa shabiki wa netboll tu
 
Ushabiki wa mpira, ni kama KABILA. Utahama DINI, lakini si KABILA! Kwa uamuzi huo, jamaa si MSHABIKI WA MPIRA!
Mpira ni mambo mawili tu kuwehuka kea furaha au kuwehuka kwa hasira hayo mawili ndio yanakuendesha .
Mkufanya vzr mtakuwa wehu kwa furaha ila timu ikiwa inafanya vibaya mnawehuka kwa hasira hapo ndipo utakaposusa na kutangaza wewe na mambo ya mpira basi kumbe unaacha kuangalia live una browse matokeo .utasema kocha hafai kesho yake akileta matokeo unarudisha mahaba kama sio wewe vile .huo ndio wehu wa mpira!huwezi kuhama !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaamua kuunga mkono juhudi sera za team zote Liver wanatekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…