Ni kweli kuna mashabiki wa aina nyingi. wako wanapenda team, wako wanapenda kocha, mchezaji na hao wako wengi tu. Kuna watu wanaenda na Maurinho tu wengine wako Juve kwa ajili ya Ronaldo na wengi wa washabiki ni wale kufungua macho wameona Man u wanashinda tu wakaunga huko wengine ndio kufungua macho Arsenal haifungwi. Mimi ni Liver na ukiniuliza sababu ni kuwa nafungua macho tu wakati ule Liver wanashinda tu. Tofauti nilipenda team sio mchezaji hawa wengine wanapenda mtu au tukio hapo likiisha wanahama.