The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wanajamvi wenzangu.
Nilikuwa naangalia Tiktok kuna waafrika weusi kabisa kutoka Igbo Nigeria na South Africa wamepima DNA wakapatikana ni wayahudi 97% wengine 85%.
Huko Ethiopia ndo usiseme. Kuna mdada flani kapima kajikuta 2% borana 3% Oromo iliosalia ni mteule.
Cha kustaajabisha Southern Sudan kuna wayahudi wa kutosha tu DNA imethibitisha.
Nimehamasika na mimi nikapime nifaham niko kwenye kundi takatifu teule?
Nina hisia flani some funny feelings huenda nina uyahudi ndani yangu.
Yani hata 1% Jewish Majibu ya kitoka kutalipuka na shangwe ya hatarii.
Future Jew.
adriz Chaliifrancisco Jagina Adiosamigo