Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,401
- 4,707
Jina lako TU ni kielelezo tosha juu ya watu wa Chama chakoumepotea
Kama lilivyo lako na chama chakoJina lako TU ni kielelezo tosha juu ya watu wa Chama chako
Sawa.Heshima yangu, huruma yangu na upendo wangu, na utii wangu kwa mwalimu Adamoo na wenzake nimewiwa kuwa official opposition member, Hekima, Busara, Ukamavu wa Mbowe umenigusa sana. Popote pale wakati wowote ule wanachadema tuaongea mengi.
No fear No hate
Unaweweseka sana mfiwa, kila lenye mwanzo lina mwisho. Hivi Eyakuze wa TWAWEZA yuko wapi?Kama lilivyo lako na chama chako
Mapema sana Mwamba kaonesha kitu adimu sana he is amazing, halafu nina machungu na walimu wangu the Gallant statesmen, Adamoo et alSawa.
Nunua Kadi ya kielekroniki ya laki 4.
Join the chain.
Usisite kuwachangia chama Mara kwa Mara na kushiriki kwenye maanadamano.
huo wivu,Unaweweseka sana mfiwa, kila lenye mwanzo lina mwisho. Hivi Eyakuze wa TWAWEZA yuko wapi?
heroic happinessInabadilisha nini labda? Ungejua..!
Chadema ni right political path.umepotea
Sawa mkuu.heroic happiness
CCM wamepotea tangu 2005 na bado hawataki kurudi nyuma kuanza upya.umepotea
AsantePascal Mayalla ngoja tumkaribishe pengine ana lakuchangia
Baba lao nafurahi sana kukuona[emoji16]Asante
P