Nimehamishiwa Dar es Salaam kikazi natafuta samani za ndani used(BUDGET TSH 1M)

Bunyamboh

Senior Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
170
Reaction score
282
Bujeti yangu ni TSH 1M ninatafuta
1. Kitanda used bila godoro
2. Sofa zilizo kwenye hali nzuri
3. TV flat screen size yoyote
4. Friji used
 
5, kama unataka mabakuli na masahani yapo katika hali nzuri nicheki na ndoo zipo.
 
Sasa hiyo hela si uende mafukani unapata vyote hivyo vikiwa vipya
 
Njoo na laki mbili 270000 nikupee kitandàa kipyaa kbs mkuu
 
Dah! Hiyo hela bora ukaitumia tu kwa kununua vitu vichache vipya. Maana unaweza ukabambikwa vitu used ambavyo vimeshachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…