Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

Jimmy_Msukuma

Senior Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
153
Reaction score
181
Habari wana JF,

Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not playing around, kwanza mji umeshabadilika, I have so many places to visit and relatives to see, but moyoni ninawinda, yaani ninatembelea ndugu na jamaa, hadi classmates, lakini kwakweli...kama tu jinsi nilivyowaacha Miaka ile, sioni Mteule miongoni mwao, maana kasi yangu ya ku-settle ni kubwa.

Wengi nikishare nao wanaishia kusema...tafuta taratibu, take your time! Hawajui ninavyoumia kuwa single, maana nashindwa mengi, kama vile kupanga miradi na kuendesha, kwa ufupi sina mtu wa karibu zaidi wa kushare na kuspend nae time, tuyajenge pamoja.

Naomba kama kuna binti au mwanamke mwenye uhitaji kama wangu, wa kuwa na mwenza, na ikiwezekana Ndoa...basi tuwasiliane PM na kupeana taarifa zaidi huko, ila nimeona niseme na kutoa dukuduku.

Natamani kuwa Mme wa mtu, niitwe Baba after sometime. Ninayo support ya ndugu na jamaa, kwahiyo mambo yote yatakuwa formal (posa, mahari, harusi, etc).

Bio yangu kwa ufupi:
Mimi ni Mkristo, elimu yangu ni Degree, kazi yangu ni Specialist wa mifumo ya mashine, Kabila ni msukuma, ni maji ya kunde, nina umbo la kati, ni mcheshi, mpole na ninayependa watu. Mengine tutafahamiana zaidi.

Sifa za ninayemuhitaji:
Itapendeza akiwa Mwanza, umri kuanzia miaka 28-37, awe na kazi au mjasiriamali, dini sio kikwazo, awe tayari kwa mahusiano serious na hata Ndoa, umbo na mwonekano ni majaliwa ya Mungu...mimi natafuta mke, sio shape ya mtu. Karibu wangu waridi!
 
Mbona sifa za kwenye magazeti hizi hebu eleza upande wako mbaya ni upi hapa ni barabarani ni bora ukawa wazi jioni inakaribia
 
Mkuu nimeeleza kila kitu kupunguza maswali na majibizano mengi...mengi ya niliandika hapo, mtu angeanza kuniuliza huko PM, so ni vizuri hayo yakawa wazi mapema ili PM tujadili mambo mengine zaidi. Thanks
 
Back
Top Bottom