Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

maisha ni kutafuta sio kutafutana
 
Haya jama hakuna vigezo wengine wakija hapa wana vigezo kama mganga wa kienyeji mara watataka chura mara hivi haya hayaaa
 
Kwa nini usitafute kwanza girlfriend halafu uone jinsi itakavyokwenda?
 
Wanaokuambia nenda taratibu hawakosei. Seriously, slow down!
 
Nitafute nikupe rafiki yangu, hakika atakufaa ila yuko dar lakin kuhamia huko haitakuwa shida after sometime
 
Km nakufananisha
 
28-37=9+37=46 huu ndio wastan wa umri wako kwenda juu si kushuka chini.

28-37 wengi ktk umri huu ni single mothers,
40-55 wengi ktk umri huu ni watalaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…